Wednesday, November 15, 2017

MTOTO WA CHACHA WANGWE AHUKUMIWA KWA MAKOSA YA KIMTANDAO

MAHAKAMA ya Kisutu imemhukumu Bob Chacha Wangwe kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya Sh. Milioni 5 kwa kupatikana na hatia ya kuchapisha taarifa ya uongo Facebook alikoandika: “Haiwezekani Znz kuwa koloni la Tanzania Bara kwa sababu za kijinga.

Habari kutoka mahakamani zinasema ndugu wa Wangwe wanachanga fedha hizo ili kumnusuru na adhabu ya kwenda jela.

No comments: