My Observations

Asilimia kubwa ya abiria wa pikipiki (bodaboda) hawavai kofia (helmet).  Hii ni hatari maana ajali inapotokea haichagui dereva peke yake, hivyo ni muhimu kwa abiria kudai kofia hizo toka kwa madereva hao kabla ya kuanza safari.  Vile vile, madereva wanatakiwa wajue umuhimu wa abiria zao kuvaa kofia hizo.

No comments: