Just Thinking ALOUD!

Kila siku usiku nikipita barabara ya Mandela kuanzia Ubungo kuja Buguruni huwa naona kupo giza, taa za barabarani hazijawashwa.  Huwa nawaza, hii barabara ni mpya na muda mfupi tu uliopita taa hizo ziliwaka kwa siku kadhaa, sasa ni nini kinachofanya zisiwake sasaivi? Je zimeshaharibika? Au mhusika mzembe anasahau kuwasha?  Au wahusika wamegundua kuwa hazina haja ya kuwashwa sababu hazina manufaa yoyote? Au zinatumia umeme mwingi hivyo haziwashwi ili kubana matumizi???? Bado sijapata jibu............

No comments: