Jokes

BLIND MAN
Husband and wife are waiting at the bus stop with their nine children. A blind man joins them after a few minutes. When the bus arrives, they find it overloaded and only the wife and the nine kids are able to fit onto the bus.

So the husband and the blind man decide to walk. After a while, the husband gets irritated by the ticking of the stick of the blind man as he taps it on the sidewalk, and says to him, 'Why don't you put a piece of rubber at the end of your stick? That ticking sound is driving me crazy.'

The bind man replies, 'If you had put a rubber at the end of YOUR stick, we'd be riding the bus, so shut the hell up.'


VITUKO VYA PADRE
 
Mwanakwaya anamlalamikia padre: "Padre mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisaa mi namwaacha haki ya nani!"
PADRE AKIJIBU KWA CONFIDENCE: "si bora mkeo anajua kidogo mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu, mke wa Petro yule  mzee wakanisa na tako lake la ghorofa ndio bure kabisaa anazidiwa hata na sister Tuli.
Yaani kwa humu kwenye PAROKIA yetu mwenye nafuu ni mkeo na Salome yule mwalimu wa Sunday School"




Kaaaazi kweli kweli ......................!!


2 comments:

Anonymous said...

Asante kwa vituko vyako yaani hiyo ya Padre imenifanya nicheke pekee yangu maana anaonyesha ni kwa kiasi gani ameweza kuchagua koondoo walionona kanisani na kuwafaudu

Anonymous said...

Hivi jokes ili zichekeshe ni lazima ziwe za lugha chafu?