Tuesday, November 12, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA NYUMBA MPYA YA P-SQUARE

Hawa ndio wale wasanii wanaotarajiwa kutua Tanzania ndani ya mwezi huu yani tarehe 23, hizi ni baadhi ya picha za nyumba yao mpya, ambapo ndani ya nyumba hii kwa asilimia kubwa ya vitu ni dhahabu tupu!!




No comments: