Thursday, March 1, 2018

BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA KISUTU KUMETOKEA MLIPUKO

Muonekano wa Mahakama ya Kisutu baada ya kutokea mlipuko uliosababishwa na umeme.
Mahakama ya Kisutu imekumbwa na hitilafu ya umeme leo baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlipuko na sintofahamu mahakamani hapo.

Hitilafu hiyo ya umeme inadaiwa kutokea kwenye moja ya vyumba katika Mahakama hiyo.

No comments: