MAGUFULI KUWATUNUKU VYETI WALIOFANIKISHA UCHUNGUZI WA MAKINIKIA LEO
IKULU: Rais Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti wote waliofanikisha uchunguzi wa makinikia na kufikiwa makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corporation.
No comments:
Post a Comment