Tuesday, October 31, 2017

IRENE UWOYA ATHIBITISHA KUOLEWA NA DOGO JANJA

Picha ya kwanza ya harusi yao ndio hii hapa chini na imepostiwa na Meneja Babu Tale ambae ameonyesha kufurahia harusi hiyo na kumkaribisha Irene Uwoya kwenye kwenye familia ya TipTop.


SIKILIZA AUDIO HAPA CHINI:

No comments: