Tuesday, December 12, 2017

BEN KINYAIYA ATARAJIA KUOA


MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko.

Kinyaiya amesema kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera rasmi kwa kufunga ndoa na mwenza wake ambaye hakutaka kumuanika wazi.

“Unajua ndoa ni mapenzi ya Mungu, kama mwanadamu sina mamlaka kihivyo, ila Mungu akijalia ‘soon’ nitafunga ndoa na mwandani wangu,” alisema Kinyaiya.

No comments: