Thursday, October 18, 2018

DIWANI WA MAGOMENI, MMILIKI WA SHULE ZA GREEN ACRES AFARIKI DUNIA

Related image
Marehemu Julian Bujugo, enzi za uhai wake.

Aliyewahi kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018.

Bujugo alikuwa pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na mmiliki wa Chuo cha Institute of Lands Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwake Jangwani, Mbezi-Beach, karibu na Giraffe Hotel jijini Dar es Salaam.

No comments: