Wednesday, March 14, 2018

VIONGOZI WA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA WAITWA KWA DCI

Viongozi wa juu watatu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) wametakiwa kuripoti kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) leo Jumatano asubuhi.

Katika taarifa yao kwa umma viongozi hao wamekiri kuitikia wito huo japokuwa uchunguzi ulishakamilika.

No comments: