Wednesday, March 14, 2018

KENYA: AUAWA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA NGÓMBE


Kijana Joseph Koech Alias Mnandi (25) wa Baringo huko Kenya ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akifanya mapenzi na ng’ombe.

Mnandi amesema kwamba alilazimika kufanya mapenzi na ng’ombe kutokana na ukweli kwamba wasichana wengi wameathirika na virusi vya UKIMWI.

No comments: