Leo tarehe 8 Februari, 2018 msanii Wema Sepetu amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa dawa za kulevya aina ya bangi.
Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili wake mpya, Albert Msando aliyejitokeza kumsaidia baada ya wakili wa zamani, Peter Kibatala kujitoa.
Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili wake mpya, Albert Msando aliyejitokeza kumsaidia baada ya wakili wa zamani, Peter Kibatala kujitoa.
No comments:
Post a Comment