Tuesday, December 19, 2017

TBWAY KAFUNGUKA KUHUSU KUVUJA KWA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA IRENE UWOYA


Baada ya  picha za mahaba za muigizaji Irene Uwoya akiwa na mtangazaji Tbway kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, wengi walianza kuhisi kuwa inawezekana picha hizo zikavunja ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya.

Kutokana na picha hizo kuvuja Dogo Janja aliweka wazi kuwa hawezi kugombana na mke wake Irene Uwoya kisa jirani kasema wagombane.

Tbway alipotafutwa ili aongelee ishu hiyo ambayo ilileta gumzo katika mitandao ya kijamii amefunguka na kusema “Hizo picha ni za movie na nilipost kabisa kwenye Instagram yangu, na sijaongea na Irene Uwoya na yeye anafahamu kabisa kwamba pale ilikuwa ni location.”

Msikilize hapa Tbway akiongea kuhusiana na sakata hilo:

No comments: