Baada ya Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemia Mchechu kusimamishwa kazi tarehe 16 Desemba, 2017 na Waziri Lukuvi, katika mitandao ya kijamii kulienea taarifa kuwa anashikiliwa na TAKUKURU.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola amekutana na waandishi wa habari na kulitolea ufafanuzi swala hilo na kusema wao wanaendelea na uchunguzi ambao wamekuwa wakiufanya kwa muda mrefu.
“Mimi nachofahamu tunachunguza maswala ya rushwa nchi hii, kuhusu Mkurugenzi wa NHC kushikiliwa siwezi kuthibitisha, sisi kama TAKUKURU tunaendelea kufanya uchunguzi wetu ambao ulikuwa ni wa muda mrefu,” – Mlowola.

No comments:
Post a Comment