KIJANA Kumbusho Dawson Kagine ambaye ni Mbunge katika Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amekamatwa na Jeshi la Polisi Dar kwa kosa la kutuma picha za Hosteli za Magufuli katika chuo hicho na kupelekwa katika Kituo cha Polisi UDSM ambapo baadaye amepelekwa Kituo kikuu cha Polisi (Central).
Kabla ya kukamatwa kwake, kijana huyo ali-post kwenye mtandao wa Facebook maneno haya:
“Nimetoka New Hostel (Magufuli Hostel), Hosteli ambazo Rais wetu amepigania mpaka zikajengwa kwa Shilingi Bilioni 10 tu za Kitanzania. Ni Ajabu sana, Huenda hizi zikawa ni hosteli zilizojengwa kwa kiwango cha chini kuliko hosteli zote barani Afrika…. Nitawaletea picha hapa siku ya kesho au ikiwezakana baadaye…… Mtatoa machozi.
Hatupo Salama…… Naomba msinipige risasi mpaka nitoe ushahidi.
NB:
Hosteli hizi zimejengwa kwa Bilioni 10 tu”

No comments:
Post a Comment