Monday, December 18, 2017

ALICHOKIANDIKA DOGO JANJA BAADA YA PICHA YA MKEWE IRENE NA TBWAY KUVUJA


Moja kati ya stori zinazotrend kwa siku ya jana ya Jumapili ya 17 Desemba 2017 ni picha ya kimahaba ya muigiza Irene Uwoya ikimuonesha akiwa na mtangazaji wa East Africa TV Tbway kitandani.  Wote tunajua Irene Uwoya kwa sasa ameolewa na Dogo Janja, baada ya kuvuja kwa picha hiyo minong’ono imeanza kuenea kuwa inaweza kuvunja ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja.

Wakati stori hizo zikiendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii, kupitia Instagram account yake ya Dogo Janja ameamua kupost picha ya mke wake Irene Uwoya na kuandika maneno haya kipindi hiki ambacho kuna minong’ono kuwa ndoa yao imeyumbishwa kwa picha ya Tbway na Irene Uwoya.

 
Hayo ndio maneno ya msanii Dogo Janja yanayodaiwa kuwa ameyaandika kwa sababu ya maneno maneno ambayo yamesambaa baada ya picha ya kimahaba ya Tbway na Irene Uwoya kuvujaa, Dogo Janja jana alifanya show Maisha Basement akiwa na Aslay ameahidi kuja na mkewe Irene Uwoya.

No comments: