Friday, November 24, 2017

KESI YA WEMA SEPETU YAAHIRISHWA BAADA YA KUFIWA


KESI inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, kuhusiana na madawa ya kulevya imeahirishwa hadi Desemba 14 mwaka huu kutokana na msanii huyu kufiwa na ndugu yake. Hata hivyo, mama yake alifika mahakamani hapo.

Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

No comments: