Thursday, May 17, 2018

ESHA BUHETI AFUNGUKIA KUHUSU KUMTAFUTIA MKE ALI KIBA (VIDEO)

Muigizaji nguli wa Filamu Bongo, Esha Buheti amefungukia kuhusu tetesi zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuwa yeye ndiye aliyemtafutia mke Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ ambaye ameoa wiki chache zilizopita huko Mombasa nchini Kenya.


No comments: