Kufuatia kifo cha Mtanzania, Bi Leyla, aliyefariki nchini Uingereza kwa kile kinachodaiwa kuwa alichomwa kisu na mumewe muda mfupi baada ya kutoka disco, Global TV Online imeendelea kufuatilia sakata hilo, ambapo Ripota wetu aliyeko nchini Uingereza, Amuri Musema, anatuarifu kuwa, mtuhumiwa namba moja katika kesi ambaye ni mume wa marehemu amefanyiwa mahojiano na jeshi la polisi nchini humo.
Katika maaelezo yake mtuumiwa anadai kuwa muda mfupi baada ya mkewe kurudi, kulitokea mzozo baina yao, na katika kujihami ndipo umauti ukamfika Leyla.
Katika maaelezo yake mtuumiwa anadai kuwa muda mfupi baada ya mkewe kurudi, kulitokea mzozo baina yao, na katika kujihami ndipo umauti ukamfika Leyla.
No comments:
Post a Comment