Tuesday, April 24, 2018

DIAMOND AZINDUA WIMBO WAKE WA KOMBA LA DUNIA CHINI YA COCACOLA (Angalia VIDEO)



Msanii wa bongo fleva, Diamond Platnumz amepata shavu la kusikika Katika wimbo utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 nyimbo iitwayo Colours nyimbo iliyofanywa na Diamond akishirikiana na Jason Derulo.

Wimbo huo ambao umetayarishwa na prodyuza Nahreel kwa kushirikiana na Maprodyuza kutoka nchi nyingine, umedhaminiwa na kampuni ya ya Coca cola Tanzania.

Wimbo huo maalum wa kombe la dunia 2018 umezinduliwa leo Katika Hotel ya Hyatt, jijini Dar es Salaam, ambapo Diamond, Nahreel na msemaji wa CocaCola wamesema wamesha uachia hewani wimbo huo hivyo unapatikana kwenye mitandao mbalimbali.

No comments: