
Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Alhaji Salum Londa amepewa muda
hadi saa tisa alasiri leo awe amelipa kodi ya nyumba anayodaiwa na
Kiwanda cha Urafiki kiasi cha Sh. 18 milioni, iwapo atashindwa, vitu
vyake vitatolewa nje.
Source: Mwananchi
No comments:
Post a Comment