Thursday, December 21, 2017

AHADI YA TANESCO KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME MARA KWA MARA (VIDEO)

Tarehe 21 Desemba 2017 wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wamewahakikishia wakazi wa mikoa ya Lindi na Mtwara tatizo la kukatika kwa umeme litabaki kuwa historia kutokana kupata ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika la JICA.

JICA wameahidi  kujenga mtambo ya kufua umeme megawatt mia tatu na utaingizwa katika gridi ya taifa hali ambayo itasaidia kuondoa kabisa tatizo umeme katika mikoa hiyo iliyoko kusini mwa nchi.


No comments: