STAA wa Bongo Movies, Jacquline Wolper amesema kuwa mastaa wengi hawapendi kupeana ‘sapoti’, kiasi kwamba hata kama staa mwenzao akiwa na biashara yake wapo radhi kununua kwingine lakini si kwa mwenzao, ili tu wamkomoe.
Akiongea hivi karibuni, Wolper alijitolea mfano kwa kusema kuwa tangu amejiingiza kwenye biashara ya ushonaji, watu wengi ambao wamekuwa wateja wa biashara zake ni watu wa kawaida tu na wasanii wenzake hawazidi hata watatu.

“Unapofanya maendeleo kwa sisi mastaa, wenzako si kwamba wanapenda. Wananuna na ndiyo maana huwezi kuwaona wakikusapoti,” alisema Wolper.
No comments:
Post a Comment