Monday, October 2, 2017

WATU WASIOJULIKANA WAFUNGUA MATAIRI YA GALI LA MBUNGE MHE MREMA...

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema leo amezungumzia juu ya mkasa wa gari lake kufunguliwa wheel nut na watu wasiojulikana ambapo aligundua tukio baada ya kuhisi kama kuna kitu kinagonga kwenye gari hilo.

Angalia video ya Mhe Lema akiongelea suala hili:

No comments: