Tuesday, October 31, 2017

TIGO YAZINDUA 'TUMEKUSOMA'

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZy1NN9oHGV3FuPnrMwcP-bVLzOtIbbuqPjPnuFlDxdlcqp0vaHQNBMrK_7BkBbruUGgWrQT3e_5qatXlBlLCFi2P3xj__kZh-8olWeNN294d2lkt_Tz-DiwjaF-izJHBkrflCod05BhUH/s1600/IMG-20171030-WA0001.jpg
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, juzi Jumapili ilizindua rasmi kampeni mpya ijulikanayo kama 'Tumekusoma' sambamba na uzinduzi wa namba mpya ya menu iliyorahisishwa *147*00#. Menu hii mpya itamuwezesha mteja kupata huduma mbalimbali kwa urahisi. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2017 mjini Moshi.

No comments: