Moja ya stori ambayo ilikuwa gumzo kutoka Kanda ya Ziwa hasa katika Mkoa wa Geita ilikuwa ni kuhusu Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura kutoa zawadi ya magari kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao hasa masomo ya Sayansi na kutajwa kwenye TOP TEN Kitaifa.
Byera Kabairuka ni mmoja wa wanafunzi hao ambaye ameshika nafasi ya Nne Kitaifa katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Sita 2017, lakini akishika nafasi ya Pili kwenye somo la Chemistry, Tanzania.
ANGALIA VIDEO YA MAHOJIANO YAKE HAPA CHINI.

No comments:
Post a Comment