Wednesday, October 4, 2017

MPYA KUTOKA KWENYE UJENZI WA FLYOVER YA TAZARA

Ujenzi wa barabara ya juu ‘FLYOVER’ katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA unaendelea kuonesha matumaini ambapo kwa sasa pande zote mbili za daraja hilo zimekwishaunganishwa.
Tazama kwenye video hii hapa chini:

No comments: