Sunday, September 17, 2017

KAULI ALIYOSEMA ZITTO BAADA YA NYUMBA YAKE KUUNGUA


Jana, 16 Septemba 2017 moto ulizuka kwenye nyumba ya kuishi ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe huko Mwandiga Kigoma na mpaka saa kumi na mbili Wananchi na Zimamtoto walifanikiwa kuuzima huku kukiwa hakuna aliyejeruhiwa.

Baada ya moto huo kuteketeza nyumba ya Mbunge huyo ambayo aliijenga baada ya kupata Ubunge mwaka 2005, ameandika yafuatayo kuhusu tukio la leo:

No comments: